Monday, September 27, 2010

MSETO WA SIASA WAENDELEA VISIWANI ZANZIBAR

Mchezo mchafu umeanza kujitokezea katika maeneo tofauti ya Unguja ambayo yanaashiia uvunjivu wa amni katika visiwa hivi hali mayo inaweza kuvuruga maridhiano yaliyokuwepo kwa muda sasa.
Wanachama na wapenzi wa vyama vya CCM na CUFwameanza kupigwa mawe huku kila chama kikimuoneshea kidole mwezake hali hiyo inaashiria vuruga baina ya chama kimoja na chama chengine.

Sunday, February 14, 2010

WAGENI WAKIFURAHI KUFUNGULIWA NMB ZANZIBAR



BAADA YA KUFUNGULIWA TAWI LA BENKI BAADHI YA WAGENI WAKIFURAHI NA WAKIHUSUDU MAZINGIRA YA ZANZIBAR. IKIWEMO UPEPO MWANANA WA BAHARI YA HINDI PAMOJA HARUFU MZURI YA MARASHI YA KARAFUU YAKINUKIA KATIKA MAENEO YOTE YA ZANZIBAR.

WATALII WENGI HUPENDA VISIWA HIVI VIWILI VYA UNGUJA NA PEMBA KUJA KUTEMBELEA ILI KUWEZA KUPUMZIKA NA KUPATA KUJUA MAMBO MBALI MBALI YANAYOPATIKANA KATIKA VISIWA HIVI. HAYA NDIO MAMBO YA ZANZIBAR JINSI YANAVYOVUTIA NA KUTIA SHAUKU KUBWA KUJA KUVIONA VISIWA HIVI VILIVYO KARIBU ZANZIBAR ILI UJIONEE MWENYEWE.

KARUME NA MKEWE


RAISI KARUME AKIWA NA WADAU WA MAENDELEO, AMBAO WAMEKUWA WAKIEKEZA MAMBO MBALI MBALI NCHINI PAMOJA NA KUFUNGUA TAWI LA BENKI YA NMB TAWI LA ZANZIBAR

SHADIA KARUME NA WAMILIKI WA BENKI WAKICHATI BAADHI YA MAMBO FULANI.



MKE WA RAISI KARUME AKIZUNGUMZA NA WAMILI WA BENKI YA NMB TAWI LA ZANZIBAR WAKATI WA UFUNGUZI WA JENGO HILO LA BENK SHADIA KARUME KATI KATI.

KARUME ANG'ARA KIDIZERGN



RAISI KARUME PAMOJA WAMILIKI WA BENKI YA NMB MJINI ZANZIBAR WAKIWA KATIKA MAENEO YA BENKI HIYO.

SIKU YA UFUNGUZI WA TAWI LA BENK YA NMB ZANZIBAR.
RAISI KARUME NDIE ALIKUWA MGENI RASMI KATIKA GHAFLA HIYO.