Monday, September 27, 2010

MSETO WA SIASA WAENDELEA VISIWANI ZANZIBAR

Mchezo mchafu umeanza kujitokezea katika maeneo tofauti ya Unguja ambayo yanaashiia uvunjivu wa amni katika visiwa hivi hali mayo inaweza kuvuruga maridhiano yaliyokuwepo kwa muda sasa.
Wanachama na wapenzi wa vyama vya CCM na CUFwameanza kupigwa mawe huku kila chama kikimuoneshea kidole mwezake hali hiyo inaashiria vuruga baina ya chama kimoja na chama chengine.