Mchezo mchafu umeanza kujitokezea katika maeneo tofauti ya Unguja ambayo yanaashiia uvunjivu wa amni katika visiwa hivi hali mayo inaweza kuvuruga maridhiano yaliyokuwepo kwa muda sasa.
Wanachama na wapenzi wa vyama vya CCM na CUFwameanza kupigwa mawe huku kila chama kikimuoneshea kidole mwezake hali hiyo inaashiria vuruga baina ya chama kimoja na chama chengine.
Monday, September 27, 2010
Sunday, February 14, 2010
WAGENI WAKIFURAHI KUFUNGULIWA NMB ZANZIBAR

BAADA YA KUFUNGULIWA TAWI LA BENKI BAADHI YA WAGENI WAKIFURAHI NA WAKIHUSUDU MAZINGIRA YA ZANZIBAR. IKIWEMO UPEPO MWANANA WA BAHARI YA HINDI PAMOJA HARUFU MZURI YA MARASHI YA KARAFUU YAKINUKIA KATIKA MAENEO YOTE YA ZANZIBAR.
WATALII WENGI HUPENDA VISIWA HIVI VIWILI VYA UNGUJA NA PEMBA KUJA KUTEMBELEA ILI KUWEZA KUPUMZIKA NA KUPATA KUJUA MAMBO MBALI MBALI YANAYOPATIKANA KATIKA VISIWA HIVI. HAYA NDIO MAMBO YA ZANZIBAR JINSI YANAVYOVUTIA NA KUTIA SHAUKU KUBWA KUJA KUVIONA VISIWA HIVI VILIVYO KARIBU ZANZIBAR ILI UJIONEE MWENYEWE.
KARUME NA MKEWE
SHADIA KARUME NA WAMILIKI WA BENKI WAKICHATI BAADHI YA MAMBO FULANI.
Subscribe to:
Posts (Atom)